Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Gentleman,Ukiona moshi unafuka mahali jua moto upo chini. CCM inaamini imefanikiwa kuwazuia watanzania kufikiri nje ya wanavyotaka wao watanzania kufikiri, kumbe sivyo.
Hapo chini ni katuni ya msanii ambaye ameamua kutumia kipaji chake kuelezea hali halisi ya siasa za Tanzania
View attachment 3646144
View attachment 3646158
Cha kusikitisha watu wanaopewa bando kwa kupimiwa kama Tlaatlaah na wenzake hawataweza kuiona hii katuni
Bwabwa hili halina hoja.Gentleman,
kwamba mimi kabisa niangalie katuni? wanangu je wafanye nini sasa gentleman kwa mfano?
mie nadhani
kwasababu ya changamoto ya muda kulingana na majukumu ya wadau wengi wa JF, ungetoa maelezo mafupi tu kuhusu porojo za kwenye hizo katuni zako na itapendeza 🐒