Katuni inazungumza

Katuni inazungumza

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Katuni ya msanii Marco Tibasima ikielezea yanayojiri kwenye ulingo wa siasa Tanzania....

Je, una maoni gani?

20220605_095920.jpg
 
Utaratibu wa Kuonjeshwa/Kulambishwa Asali unaendelea kwa Kasi ya 5G.

Hasa kwa wale waliokua na kidomodomo sana juu ya Watawala.
 

Tam Tam Tutalamba

Amlamba Tena Amm

 
Bwahahaha.....saa hizi kila mtu analambishwa asali...
 
"Mkono unatoa na Mkono unaopokea."
 
Mama samia anaumaliza upinzania kwa akili sana na sio nguvu tena
 
Inaonesha kuna watu wanapenda misuguano iendelee,
Inaonesha kuna wapinzani wanafaidika na kamata kamata, fungwa fungwa ya watu

Inaonesha wapinzani wengi walitaka Mbowe aendeleze msimamo ambao haumfaidishi mtu.

Mapatano ni kitu cha msingi sana
 
Wakati Chadema wanalamba asali, Mataga na Suukumagang wanalamba nini?
 
Namuona Kibata.. kukosa kazi maana hakutakuwa na kesi.
Namwandalia shamba la alizeti Singida aje tulime
 
Back
Top Bottom