Katuni niliyoipenda

..........Hii inafaa kuitwa KATUNI YA MWAKA 2008.....category ya siasa......kwi kwi kwi kwi........nimecheka sana leo hasa yule jamaa anasema "ukikosa hapa kila mtu atakushangaa".............
 
Katuni zimebeba ujumbe mzito sana....wa maana kisha....
 
Mwenzenu mimi katuni iliyonivunja mbavu ni hii hapa. Hasa pale ambapo Ramba Ramba alipopigwa kanzu halafu na yule golikipa asiyeongea.
Kichuguu kweli unabeba mchwa si mchezo maana ujumbe wa hii ni mkali
 
Swali gani hilo wakati wewe mwenyewe umezamia nje hutaki kurudi?
Haya hayakuhusu. Wewe ulikwenda kusoma? mbona umeshindwa kurudi toka ughaibuni?
 
Maoni yako ni sahihi kabisa, wapinzani wana safari ndefu ( strategically ) kabla ya kuiong'oa CCM.

Binafsi naamini wapinzani wa kweli watatoka ndani ya CCM yenyewe
Kamwe ccm hatatoka mpinzani wa kweli bali watatoka puppets na kujifanya ni wapinzani. Naweza kukubali tu kama utasema mpinzani wa kweli hajazaliwa katika siasa zetu. Lakini kwa unabii nilionao hayuko mbali kuzaliwa. Stay tuned.
 
Laa!! hiyo nchi itakayoongozwa watu waliosoma "AAM UNIVERSITY" itakuwa na taabu sana; nadhani watu hawatakichanganya chuo hicho na UNIVERSITY of Dar es SalAAM.
 
Adhabu ya viboko

 

Attachments

  • kp0365[1].JPG
    34.5 KB · Views: 68
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…