Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichuguu kweli unabeba mchwa si mchezo maana ujumbe wa hii ni mkaliMwenzenu mimi katuni iliyonivunja mbavu ni hii hapa. Hasa pale ambapo Ramba Ramba alipopigwa kanzu halafu na yule golikipa asiyeongea.
Swali gani hilo wakati wewe mwenyewe umezamia nje hutaki kurudi?Quote:
Originally Posted by John Mnyika
Viko vyanzo vingi vya katuni za kisiasa zenye kuibua mjadala. Tuziletapo JF thread hii yaweza kuwa pahala husika.
Leteni nyingi zaidi toka vyanzo mbalimbali ili tucheke huku tukipata ama kutoa ujumbe.
JJ
shule ushamaliza?
Kamwe ccm hatatoka mpinzani wa kweli bali watatoka puppets na kujifanya ni wapinzani. Naweza kukubali tu kama utasema mpinzani wa kweli hajazaliwa katika siasa zetu. Lakini kwa unabii nilionao hayuko mbali kuzaliwa. Stay tuned.Maoni yako ni sahihi kabisa, wapinzani wana safari ndefu ( strategically ) kabla ya kuiong'oa CCM.
Binafsi naamini wapinzani wa kweli watatoka ndani ya CCM yenyewe
Kazi kweli kweli...
Acha tu.
Nasubiria ya kasungura ka Lowassa kabla hajaanza kulisha watu njiwa na hivi ameachiwa nchi!