Katuni ya Gado kuhusu Mkataba wa DP World

Katuni ya Gado kuhusu Mkataba wa DP World

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
19,484
Reaction score
38,416
Gado kapatia sana kwenye maudhui..ila dah..ni kama Samia anaelekea kuwa Magufuli 2.0
20230719_111308.jpg
 
Kwani ikibidi....kikombe kimuepuke Mungu ataamua huu ugomvi amen
 
Gado kapatia sana kwenye maudhui..ila dah..ni kama Samia anaelekea kuwa Magufuli 2.0
View attachment 2692881
afu mtu wa Mbeya anayeishi Nairobi, jiulize angekuwa Mbeya ingekuwaje.....wakenya wapoje sijui Gado, Mtanzania anaishi Nairobi tena mtaa wa Ikulu lakini hawajawahi kumkamata kwa kuwalipua maraisi tangu Moi , Kibaki, Uhuru mpaka Ruto leo-uhuru wetu bado
 
Back
Top Bottom