Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
View attachment 15344
aibu yenu mafisadi!!
Obama nchi yake ina kila kitu kiuchumi lakini hana kitambi. Nyie nchi zenu matatizo lakini muna mimba kama wanawake wajawazito.
Hata rais wetu mbona hana kitambi?
Mkuu, asante kwa ujumbe mzito uliomo kwenye katuni hii. Kuna ukweli ndani yake. Lakini, sijui kwa nini, huwa nnakereka kusikia/kuona maneno hayo yenye red yanapotumika kama kashfa. Naona kama ni kuwadhalilisha mama zetu. Sorry, ni mtazamo wangu tu.
Asante.
Nimefuta usemi wangu mkuu.
Na wewe futa basi huo uzi wako hasa maandishi ya red.