Elections 2010 Katuni ya leo: Walivyokuwa kabla na baada ya nyerere kufariki

Elections 2010 Katuni ya leo: Walivyokuwa kabla na baada ya nyerere kufariki

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
View attachment 15344

AIBU YENU MAFISADI!!

Obama nchi yake ina kila kitu kiuchumi lakini hana kitambi. Nyie nchi zenu matatizo lakini mumefura kama vyura wa masika.
 
Mkuu Ong'wise, asante kwa ujumbe mzito uliomo kwenye katuni hii. Kuna ukweli ndani yake.
 
Mkuu, asante kwa ujumbe mzito uliomo kwenye katuni hii. Kuna ukweli ndani yake. Lakini, sijui kwa nini, huwa nnakereka kusikia/kuona maneno hayo yenye red yanapotumika kama kashfa. Naona kama ni kuwadhalilisha mama zetu. Sorry, ni mtazamo wangu tu.
Asante.

Nimefuta usemi wangu mkuu.

Na wewe futa basi huo uzi wako hasa maandishi ya red.
 
Back
Top Bottom