La haula lakwata ushageuka ghafla bin vuuuuMimi ni Team Trump Since Day one Fuatilia Hata Nimewahi kujibishana na Mgu kuhusu Ushindi wa Trump humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La haula lakwata ushageuka ghafla bin vuuuuMimi ni Team Trump Since Day one Fuatilia Hata Nimewahi kujibishana na Mgu kuhusu Ushindi wa Trump humu
UZI UFUTEWE!March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11
S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸
Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP
Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔
Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!😳😳
Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..
Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama
View attachment 3141766
View attachment 3141767View attachment 3141769
KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
View attachment 3141772
La haula lakwata ushageuka ghafla bin vuuuu
Bado mwaka 2028 Haujafika Mkuu Ukifika mwaka 2028 kama kamala hajachukua Nchi Uzi ufutwe
SawaBado mwaka 2028 Haujafika Mkuu Ukifika mwaka 2028 kama kamala hajachukua Nchi Uzi ufutwe
The Matrix is fakeHuwa hawatabiri, The Matrix huwa wanakuonesha kile walichopanga kupitia vitu vinavyodharaulika na watu kama hizo katuni.
Watu wengi wameanza kuishtukia The Simpsons kuanzia miaka ya 2015, kabla ya hapo walikuwa wanaidharau sana