Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Sammo Hung

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2017
Posts
1,151
Reaction score
1,321
Masoud Kipanya ni miongoni mwa wachoraji katuni wanaofanya kazi nzuri hapa nchini kwetu, katuni ya Kipanya imetokea kuwavutia wengi kutokana na jinsi inavyoelimisha, kuburudisha, kuchekesha na hata kufikirisha.

Nimekuwa nikifuatilia katuni ya Kipanya kwa muda mrefu ila nilichogundua ni kuwa Masoud ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kudadavua mambo na ndio maana katuni yake imeweza kupata mashiko na kupendwa miongoni mwa jamii.

Uzi huu ni maalum kwaajili ya kuweka katuni ya Kipanya ambayo uliipenda na kama kuna ambayo uliiona na hukuielewa basi iweke hapa wadau wakusaidie kuitolea maana.

NB: Weka katuni ya muda wowote hata kama sio ya mwaka huu.

Huu utabiri wa hali ya hewa ulitimia.. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
5fa7b43c031a7d206e08250683cdba25.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechoka kumuweka yule mwanao kwenye Avatar ana kichwa cha ajabu
Yule ni Azarel wa kabila la Mongbetu, tuliishi naye central Africa zamanii.

Bado nitamweka sana.
 
Back
Top Bottom