Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
huo unaitwa utoko
sema kuna baadhi ya kina dada hawajui kusafisha K zao
Hako kaneno kanatumiwa sana na wenyeji wa nyanda za juu kusini....sijui weye ni mmojawao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo unaitwa utoko
sema kuna baadhi ya kina dada hawajui kusafisha K zao
Maty, Heaven on earth, Munkari, life is Short na mimisa mna uhakika na mnachokisema kweli?
Nadhani mtakuwa mmechanganya serious. Nahisi Lamchina utakuwa umekuwa misled. Nijuavyo mimi (correct me if am wrong) mwanamke yeyote akiwa amekwisha andaliwa vizuri tayari kwa ajili ya tendo la ndoa, kuna lubrication inaachiliwa ukeni. Lubrication hii inakuwa na rangi nyeupe kwa mbali mwanzo mwanzo kwa sababu inakuwa concentrated. Nadhani hili ndo jibu sahihi kwa nijuavyo mimi unless MziziMkavu ana la kuongezea na wadau wengine.
wapi Mtambuzi?
Hako kaneno kanatumiwa sana na wenyeji wa nyanda za juu kusini....sijui weye ni mmojawao?
kuna ndimu hapa nkupe mkuu?
Woow mkuu hujafunga leo?
aah! Miye kobe la mchana yakhe!
Yes, umenifurahisha Munkari, ivo al-maarufu kobe linamaanisha nini ? na uhusiano gani saumu? nilivyokuwa young hulisikiaga!!
chukua msasa umsafishe kwanza
zinasafishwaje mpenzi? wape somo wenzio banahuo unaitwa utoko
sema kuna baadhi ya kina dada hawajui kusafisha K zao
Wallahi, Nimeweka hamu na subiri nalingojea maana "it means alot zama zangu" afu ntakuhadithia labda nawe yalikugusa kama ulipitia... togwa, !!teh! Dah umenikabaje mi mwenyewe nlikuw naskiaga tu kwa kweli cfaham huwa linaamanisha nin ntaulizaga afu ntakutell!
Maty, Heaven on earth, Munkari, life is Short na mimisa
Binafsi nina wasiwasi na nadharia zenu kwa kuwa nijuavyo mimi naona ni tofauti kidogo nanyi...
Sio mara zote mwanamke atoapo ute au vibonge vibonge viduchu vyeupe ni uchafu au ugonjwa...
Wapo wanawake watoao hiyo kitu na bado kiafya ni wazima na kimwili ni wasafi pasi shaka yoyote...
Binafsi huwa najua ile ni aina tu ya secretion kama vaginal secretions nyinginezo na hutokea mwanamke
anapokuwa anahisi utamu...
Pia wapo ambao hutoa secretion kama hiyo hata kwenye foreplay...
Hivyo tumshauri tu huyu jamaa ampeleke huyo bi dada hospitali kwa uhakika zaidi...
zinasafishwaje mpenzi? wape somo wenzio bana
Wallahi, Nimeweka hamu na subiri nalingojea maana "it means alot zama zangu" afu ntakuhadithia labda nawe yalikugusa kama ulipitia... togwa, !!
kujua watakua wanajua ila wanadhani urembo
ni kupaka obagi tu.........
wanasahau kuwa K inatakiwa uipe kipaumbele sana!!!!!
inahitaji kusafishwa kwa umakini wa hali ya juu