Kauli 10 mbaya za walimu darasani

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
48,474
Reaction score
125,866
Unakumbuka ipi hapa??
Je ni kauli Mbaya na si Kauli za Kweli?

1. Mkimaliza kuongea niambieni. niendelee kufundisha

2. Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule

3. Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe

4. Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako

5. Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale

6. Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu

7. Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote

8. Tunavisaidia tu kwani vikifanikiwa mbeleni hata salamu vinatoa?

9. Bichwa kubwa ubongo nukta

10. Wengine hapa wamekuja kukua tu

C&P

Ongezea na nyingine....
 
mwalimu Nampanda...
''Ntakupiga mpaka ukamwambie mama yako nampanda''
ticha mmoja alikuwa anatuonyesha movie DH kwa wiziwizi, yeye anaamini katika kutukanana na wanafunzi kuliko fimbo. nadhani alikuwa mzaramo.
 
01. Kila mtu kaja na begi lake, ataondoka na begi lake.

02.Kenge nyie, kazi tu kubinua visketi.

03. Ungebaki tu huko nyumbani uwalee wadogo zako/uolewe[emoji23].

04. Kuna wengine hapa wanawasindikiza tu wenzao.

05. Katika msafara wa mamba na kenge wamo.
 
Zingine zina ukweli kabisa, kama ile ya 5 mwalimu wetu alikuwa anapenda kuisema sana tukimkosea huku akifoka
[emoji23] wana dhambi sana hawa watu, na most of the times akili zao hua zinakuwa kama za wanafunzi au much worse
Kuna head master wetu mmoja aliwaambia hivi mademu baada ya kukuta uchafu kwenye mlango wa darasa

"Hivi nyie kwa mfano mnavochukuaga toilet papers mnafutia hiyo mikund* yenu huwa mnazitupa kwenye mlango wa choo ?"

Hapo ilikua tupo assembly
 
Kauli zao zinachoma sana aisee zikiwa na ukweli mtupu
 
Halafu wengine walikuwa wanatukana matusi ya nguoni kabisa kwa wasichana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama hawakuelewa kwa mfano huo, hawatakaa waelewe..
 
Mimi nilikua sipendi ikifika pale anasema sasa tunajibu kwa kifuata mstari nilikua natamani niingie chini ya dawati!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli..Sema kwa muda huo unakuwa waona wanakupigia mikelele tu... Ila siku unaiaga shule ndo akili inakukaa...
Watu wengi walikuwa wanatamani wamalize shule kwa sababu ya usumbufu wa walimu bila kujali atafaulu au la
 
Haha[emoji23] kweli ,ila yule mzee alikua hamnazo kabisa ,akiona unaleta uhuni anakuongelesha kihuni" kila siku nawaambia ufala mi simind kabisa kama mbwai mbwai"
 
Mimi nilikua sipendi ikifika pale anasema sasa tunajibu kwa kifuata mstari nilikua natamani niingie chini ya dawati!
Hahaha au ile ya kuchagua randomly afu unaulizwa,
Kuna siku O level teacher mmoja hakua vizuri na lugha ya malkia akaniuliza
Eehn lucas what we learn yesterday ? Nilicheka sana kumbe akaweka kinyongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…