Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Unakumbuka ipi hapa??
Je ni kauli Mbaya na si Kauli za Kweli?
1. Mkimaliza kuongea niambieni. niendelee kufundisha
2. Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3. Kama unajua kuliko mimi njoo ufundishe wewe
4. Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako
5. Hata msiponisikiliza mshahara wangu uko pale pale
6. Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu
7. Hata nikeshe nafundisha wengine ni mizigo hawatoki na lolote
8. Tunavisaidia tu kwani vikifanikiwa mbeleni hata salamu vinatoa?
9. Bichwa kubwa ubongo nukta
10. Wengine hapa wamekuja kukua tu
C&P
Ongezea na nyingine....