Kauli 10 mbaya za walimu darasani

Niliwahi ambiwa nikiwa darasa la saba.

"Tatizo lako una akili nyingi kichwa kidogo"

Kwa akili nilizokuwa nazo nilijua tuu anasema kinyume chake.
 
Kuna ticha angu mmoja almwona jamaa town jtatu akamwita assembly .. Akamwambia geuka nyuma akasema " hili tako nmeliona town Jana""" mbarikiwe waalim[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
... Mali za nyumbani ni za Baba yako, amekuleta hapa ili na wewe usome uchume za kwako.
 
"Form Four Ndio Maisha, Ukiharibu Hapa Maisha Yako Yote Utakuwa Mtumwa Wa Wenzio Humu Darasani " Nilikuwa Sipendi Elimu Ila Nikisikia Huu Msemo Afu Nipo Dakika Za Majeruhi Kwenda Necta, Akili Haikawi Sawa Mpaka Nilikonda Cha Ajabu Nilichaguliwa Special School- Uzumbeni.
 
Hiyo Na. 2 na Na.9 sio mchezo, yaani huyo ticha akimaliza tu kuongea na kichwa cha kwenye kidevu kinamfuata
 
Kuna mwalimu mzee mzee hivi, tuko darasa la 3 akamtukana dogo mmoja eti hashangai kwa yeye kufeli, maana hata baba yake alikuwa ni sifuri.

Dogo kaenda home kumweleza mdingi (mdingi alifundishwa na huyo mzee pia)...

Kilichotokea!
 
Watu wengi walikuwa wanatamani wamalize shule kwa sababu ya usumbufu wa walimu bila kujali atafaulu au la
si kweli mkuu hakuna mwalimu anayeweza kumtolea maneno machafu mwanfunzi mwenye kujielewa adabu na bidii darasani..
sote tumeona wanafunzi waliokuwa wanalowa matuzi ni wale enye viburi kujifanya manunda na utii sifuri..hakuna mwalimu anayefurahia darasa lisilokuwa na heshima...
mimi kwa upande wangu sikuwai kutolewa lugha mbaya na mwalimu yoyote tangu naanza msingi ununda husaidii lolote zaidi ya majuto baadaye
 
Ualimu ni moja ya kaz yenye frustration sana ... Ashukuriwe mwalimu
 
Hahaha au ile ya kuchagua randomly afu unaulizwa,
Kuna siku O level teacher mmoja hakua vizuri na lugha ya malkia akaniuliza
Eehn lucas what we learn yesterday ? Nilicheka sana kumbe akaweka kinyongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa si ungejibu...Huoni kama ulimuonesha madharau..[emoji23][emoji23]
 
Kuna ticha angu mmoja almwona jamaa town jtatu akamwita assembly .. Akamwambia geuka nyuma akasema " hili tako nmeliona town Jana""" mbarikiwe waalim[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa sisi ambao hatujapita shule kabisa hapa tuwe wasomaji tu
 
Ha ha ha!
 
imekuaje we mtoto wa kike na iyo avatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…