Kauli 10 za walimu darasani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
1: Mkimaliza kuongea, niambieni niendelee kufundisha.

2: Baba yako aliuza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shuleni.


3: Kama unajua kuliko mimi, njoo ufundishe wewe.


4: Ulikuja peke yako na utaondoka peke yako.


5: Hata msipoelewa, mshahara wangu uko pale pale.


6: Baba yako anahangaika kulipa ada wewe unafanya utumbo tu.


7: Hata nikeshe nafundisha, wengine ni mizigo ha
watoki na lolote.

8: Bichwa lako kubwa lipo kwa ajili ya kutenganisha masikio yako.

9: Bichwa kubwa ubongo nukta.

10: Wengine hapa wamekuja kukua tu.

Unayo nyingine? Mkumbuke mwalimu wako.................
 
hahahha rly funny
'niko hapa kucover nilichopanga wether mnaelewa au hamuelewi'
 
Kuliko kufeli kiasi hiki bora uache shule ukafanye mambo mengine..ur still young ta waste ur time here... ushauri huu wa mwalimu..
 
Yani mmeharibu nauli zenu kuja hapa Ndanda ili mfaulu PCB au PGM? bora hamia HKL au HGK la sivo mtarudi kwenu kama mlivokuja,hasa wewe unaenikodolea macho (akaninyoshea kidole).
 
Wanaosoma HKL wanasoma masomo mawili tu, ila msiende kuwaambia dah huyu ticha noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…