Inachekesha kweli aisee hii!Mmasai:Analeta mwanae mwingine kusoma darasa kumreplace aliyeandikishwa kwa kuwa anazamu ya kuchunga ng'ombe!
Haya waliojiandaa waanze kujibu mtihani, ambao hawakujiandaa waanze kusali. U may start!
Huo n wakat wa mtihan!