Kauli 10 za walimu darasani

Kauli 10 za walimu darasani

-wengine wamekuja kupiga picha hapa

-Hufundishiki?

-wakati nafundisha ulikuwepo?

-yani mmefanya madudu tu

-unajua mimi ninaishi wapi na ninawahi kufika hapa? (hii nimeambiwa kama mara 1000 hivi)
 
Mmekuja kuonyeshana uzuri humuee! Eti mmeniskia " nasema mmekuja kuonyeshana vidudu vyenuuu? Hapo ni Class zima linaulizwa.
Daaaah acha.
 
Mbuzi akuli kwa urefu wa kamba yake bali atakula kwa huruma ya mchungaji wake..."lecturers"
 
MBONA UNAOGOPA KIBOKO KINACHOCHAPA KWA NJE WAKATI VINGINE VINAINGIA HADI NDANI NA HUOGOPI. Hii ilikuwa kwa mwalimu mmoja hivi anae watandika viboko wanafunzi wa kike.
 
mimi nilikuwa nakuwa wakwanza kila mtihani na nilifaulu peke yangu kijiji kizima"nikawaga najiuliza mbona yeye mwalimu anakaa kwenye ofisi ya vumbi wakati baba aliekuwa anakuwa wakwanza kila mtihani naletwa na landcruiser ya bank kila siku
 
Back
Top Bottom