Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume

Hata nikukubalia hutaniweza mie.
 
kwani lazima tukiingia chumbani uni do leo?hapo unapimwa kama una kifua cha kuvumilia au ww ni wa kumega na kusepa,,,mara nyingi hii huwa ni ngumu kumeza,ilishanitokea live lodge palikuwa hapatoshi

Sasa ikwaje? ukaachia mzigo?:A S 13:
 
Kama mpo nae mbali pengine mmojawapo yupo masomoni...utasikia'nitunzie kitu changu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…