THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Yanaumia Moja Moja lenyewe nimeona linasema Match ety imechezwa dakika 80😁Bado scars hajajibu
Huyu dogo alitukana sana usajili wa Aziz KiTusichoshane jisomeeee mwenyewe.
Halaf shusha Reply unamuonaje huyu mtu ana maumivu kiasi gani?
Na kasema hili kwa ukweli wa asilimia ngapi?
View attachment 2870920
Nina rafiki yangu hapa anasema kombe lenyewe la M 10 tu halitoshi hata mishahara ya wachezajiYanaumia Moja Moja lenyewe nimeona linasema Match ety imechezwa dakika 80😁
Na yamepigwa😁Makolo hadi Vijora yalishona lakini wapiiiiiii!!
Wangetoka mapema kama wenzao sasa😁Nina rafiki yangu hapa anasema kombe lenyewe la M 10 tu halitoshi hata mishahara ya wachezaji
Yanaumia sana😁Wengine hawa
Tlia kwenye Ligi ya malize ya 3Simba ya Robatinho imerudi, baada ya wachezaji kujihakikishia namba Kikosi cha kwanza wanaendeleza walipoishia sasa.