Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Habari.
Kuna mwamba mmoja TikTok anaitwa Godfather, ana kauli mbiu yake moja ya "Vijana tafuteni hela". Kiuhalisia mimi kwa upande wangu naona anachoongea ni kweli, sema changamoto ni kwenye uwasilishaji Tu.
Vijana wamecharuka na kuanza kumpiga majungu kwa kuwa, anamiliki Crown na hela anazoonyesha ni za mchongo, wengine wanamwita Freemason.
Hiko kiuhalisia mimi ni kijana Ambaye ninasimama na kauli yake, vijana tutafute hela, bila hela lazima utadharaulika sana. Siyo kanisani, mtaani, ukweni hata nyumbani, pale utakaposhindwa kumnunulia mama mzazi kanga ya Elfu 10 kariakoo.
Inaumiza sana kijana kukosa hela.