Kauli chafuzi TikTok, vijana tafuteni hela (Godfather)

Kauli chafuzi TikTok, vijana tafuteni hela (Godfather)

🤣🤣🤣jamaa ananifurahisha sana,kwa kijana lazma iwe challenge kwetu,hana ubaya wowote
 
Godlove kuna kauli yake moja anaipenda sana anasema "" ipo siku utaamka asubuhi unakuta rafiki yako kipenzi amekusaliti, mpenzi wako yupo na mwanaume mwengine lakini ile milioni kumi yako uliyoiweka bank utaikuta ipo vile vile akamalizia kwa kusema tafuteni hela wanangu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom