Kauli gani ya Mwalimu ilikua inakukera!!?

Kauli gani ya Mwalimu ilikua inakukera!!?

Lecturer anakwambia ...usipoelewa hapa darasani utaelewa wakati unapofanya supplementary......kule SUA tulikuwa tunaita probation....hapo ni pindi la Mathematics ...Foundation of Analysis...Mr. Sembuche
 
(baada ya kushindwa kujibu swali)
ticha akawaambia ukute na huyu Ana mpenz kabsa na wanapendana kwel kweli (hapo manz yangu alikuw anakaa mbele [emoji3][emoji3])

Nyingine- "inaonekana mtanashati ila kichwani kumejaa kunguni tuu"(hapo demu wangu alikuw anainama chini kwa aibu nilijisikia vibaya.
 
"Are we together" hapo anapigisha pindi la physics current electricity channel hazikamati kabisa naona chenga tu halafu kuna kiusingizi kinakupuliza kama upepo.
 
(baada ya kushindwa kujibu swali)
ticha akawaambia ukute na huyu Ana mpenz kabsa na wanapendana kwel kweli (hapo manz yangu alikuw anakaa mbele [emoji3][emoji3])

Nyingine- "inaonekana mtanashati ila kichwani kumejaa kunguni tuu"(hapo demu wangu alikuw anainama chini kwa aibu nilijisikia vibaya.
Inaonekana ulikuwa mjinga sana
 
mi nilijua unaongelea Mwalimu nyererere [emoji23][emoji23]
 
Chuo "Yaani darasa la course hii limejaa hivi aargh lazima mpungue nusu"(supp na disco)hapo somo lenyewe halieleweki kabisa😂

"Mliambiwa chuo bata eeh " "Tukutane September conference (kusapua)"😀😀
 
Back
Top Bottom