lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Akinukuliwa na makamera, mlalamikaji ambae ni mfanyabiashara wa hoteli alisikika na akionekana kusema kuwa amejitoa Mhanga, yuko tayari kwa lolote.
Alisema hivi,"Sabaya alinitaka nimpe milioni tano, na utaamua mwenyewe uiite rushwa au MAKONDA style". Mwisho wa kunukuu.
Hii kauli ikitokea kwa Mkuu wa Wilaya ndugu Sabaya kwenda kwa mfanyabiashara yule akimlazimisha ampe hela hizo bila shughuli yoyote.
Kama ingekua ni nchi zenye haki Leo hii Bashite angekua anachunguzwa akiwa nyuma ya nondo. Mfano tu Silivio Belusconi aliekua Raisi wa Italia na nadhani hali so nzuri kwa Nikolas Sarkozy,ama Waziri Mkuu Fulani wa Japan.Ama hata rafiki yetu Jacob Zuma.
Ila nakumbuka kuna kauli nyepesi kabisa waliwahi kutamka akina Mbowe, Lissu na hata akina Lema, kwa kweli Polisi wetu walipata kazi ya kufanya, waliwaita ama kwa hiari ama kwa Lazima waende wenyewe kuhojiwa. Walienda walihojiwa wa liowekwa ndani waliwekwa.
Makonda haijulikani ni nini kinaendelea.
Tanzania ya CCM hii.