Kauli hii ya Hayati Jomo Kenyatta inaweza kuwa kweli kuhusiana na Tanzania?

Kauli hii ya Hayati Jomo Kenyatta inaweza kuwa kweli kuhusiana na Tanzania?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
"Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao"

"Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake"

"Watanzania ni sawa na MAITI kamwe hawawezi kudai haki zao!!!"

Kauli hii ya Mzee wetu inaukweli?

download (11).jpeg
 
View attachment 3105421
Mwanae ni Rais mstaafu ambae, mgombea urasi wake alikua Raila Odinga, na alishindwa vibaya na Dr.William Ruto, yeye akiwa na serikali,

Sasa sijui alikua mgonjwa, alisinzia au alilala usingizi, au alikua maiti mpka mgombea wake akashindwa vibaya na matokeo yake akakasrika sana?🐒

Nadhani angeulizwa kwanza huyo...
 
Nchi zilizopata uhuru kwa njia ya peaceful means. Raia wake hua na mindset ya uwoga na hawana spirit ya kudai haki zao kwa njia ya demonstration.

Siku Azania ikiacha kutegemea wazee wa peoples power raia wakaamua kuingia Road kudai haki zao tutalikomboa taifa
 
"Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao"

"Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake"

"Watanzania ni sawa na MAITI kamwe hawawezi kudai haki zao!!!"

Kauli hii ya Mzee wetu inaukweli?

View attachment 3105421
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende ambayo haiwezi kupambanua fikra chanya na hasi, yaani jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo, (a society that can be brainwashed)

Vile vile unaweza ukaambiwa ujasiriamali siyo kitu cha kudumu, kumbe mjasiriamali ni mtu ambaye anaweza kuligeuza wazo likawa biashara na kubuni mbinu za jinsi ya kuanzisha, kufanya biashara na kuiendeleza
 
Kiongozi anatoa ahadi nyingi wakati wa kuomba kura, akipita hatekekezi hata moja. Anakuja tena na ahadi nyingine, bado mnampa. Huu ndio utaahira Kenyata aliona.
 
Kauli hii mbaya ifutwe na wahusika kwa 'kufufuka' kama ni wafu
 
Back
Top Bottom