mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Mwanae ni Rais mstaafu ambae, mgombea urasi wake alikua Raila Odinga, na alishindwa vibaya na Dr.William Ruto, yeye akiwa na serikali,"Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao"
"Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake"
"Watanzania ni sawa na MAITI kamwe hawawezi kudai haki zao!!!"
Kauli hii ya Mzee wetu inaukweli?
View attachment 3105421
Google itAliitamka lini na akiwa wapi?
Kweli kabisa"Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao"
"Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake"
"Watanzania ni sawa na MAITI kamwe hawawezi kudai haki zao!!!"
Kauli hii ya Mzee wetu inaukweli?
View attachment 3105421
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende ambayo haiwezi kupambanua fikra chanya na hasi, yaani jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo, (a society that can be brainwashed)"Waganda ni sawa na wagonjwa muda wowote wanaweza kupona na kudai haki zao"
"Wakenya ni sawa na mtu aliye lala muda wowote anaweza kuamka na kudai haki yake"
"Watanzania ni sawa na MAITI kamwe hawawezi kudai haki zao!!!"
Kauli hii ya Mzee wetu inaukweli?
View attachment 3105421
Tena anataka mfikiri anavyotaka yeyeKiongozi anatoa ahadi nyingi wakati wa kuomba kura, akipita hatekekezi hata moja. Anakuja tena na ahadi nyingine, bado mnampa. Huu ndio utaahira Kenyata aliona.
Kiongozi anatoa ahadi nyingi wakati wa kuomba kura, akipita hatekekezi hata moja. Anakuja tena na ahadi nyingine, bado mnampa. Huu ndio utaahira Kenyata aliona.