kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 304
Asubiri tu utoaji sadaka ukianza kupungua kanisani ndio atakubali
Kwamba hali ni ngumu
Kwamba hali ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii kauli ya tumwombeee sometimes huwa ina nitia hasira kama tunapaswa tumwombee mpaka askofu basi tuna kazi kubwa sana kwa maana we ye shida watasahaurikaNianzee kwa kusema kuwa Pengo ni binadamu, anakosea kama binadamu wengine, na hivyo anapaswa kukosolewa ili mradi busara itumike katika kukosolewa.
Huwa inanipa wasiwasi mkubwa pale viongozi wakubwa wa kisiasa wanapotengeneza urafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa madhehebuuu, ukifatilia sakata hizi kuna harufuu ya rushwa ukizingatia watu hawa wanaaminiwa na maelfu ya waumini wao, kuna matukio mengi ambayo viongozi wa siasa wanajipendekeza na kutoa misaada mikubwa sana.
Naomba tuzidii kuwaombeaa wakuu wa madhehebu waendelee kusimama imara na kumtumikia Mungu badala ya mwanadamu, lakini pia tuwatumiee washauri wao wa karibu kuwashauri, naamini kwa msaada wa Mungu wataweza kusimama imara"Nothing impossible to God" tuwaombee nao ni binadamu.
Huwa nawaeleza watu hapa akitokea dikteta wa kuzipiga marufuku hizi dini mbili pendwa hapa Tanzania nitamuunga mkono hizi dini mbili ni kitovu cha ujinga.Hakusema kwa bahati mbaya...
Kanisa Katolili ni kanisa tajiri kuliko yote duniani, lina vyanzo vingi sana vya kuingiza pesa, hata lile fungu la kumi halipigii kelele wa kwa waumini wao.Asubiri tu utoaji sadaka ukianza kupungua kanisani ndio atakubali
Kwamba hali ni ngumu
Ushapungua sanaAsubiri tu utoaji sadaka ukianza kupungua kanisani ndio atakubali
Kwamba hali ni ngumu
Taratibu mkuu Blood of JesusKatika watu ambao ni "takataka" hapa nchini, pengo ni mmojawao.
Kwa inchi ilipokua imefikia imla ni lazima,hats ung'ekuwa weweKipindi chochote cha mpito kinahitaji usimamizi si uimla
Tudumu wote ktk ushirika na umoja wa kweli wa [HASHTAG]#JamiiForum[/HASHTAG] mkuu JerrymsigwaBarafu udumu Jf uko vzr sana
Usimamizi kwa maana ya kizungu supervision ambao ni sehemu ya utaalamu wa uongozi unafuata ethics na kanuni zile zile duniani kote. Hata maimla lazima yatumie hizo kanuni ili kufikia malengo yao. Hapa naona uimla wetu ni muhali kufikia malengo.Kwa inchi ilipokua imefikia imla ni lazima,hats ung'ekuwa wewe