Barafu umenena sana,tutoe hoja tuache matusi,kihistoria msaliti anatoka ndani ya wasalitiwa,Yuda alinunuliwa ili amsaliti Yesu kwa kuwa alikuwa karibu nae,na aita tokea msaliti awe mbali na wasalitiwa,tukae tutambue Pengo sio malaika ni binadamu aliyezaliwa na mwanadamu, answers kuanguka kiroho kama mwanadamu yoyote yule,tusimuone kuwa hawezi kukosa,mfano mzuri ni sakata la ESCROW viongozi wa dini wapo,na waumini tulikuwa tuna waamini kuwa hawezi kufanya jambo kama hilo,wengi return tulishangaa kwa kuwa tuna waamini kuliko tunavyopaswa kuamini,tukae tutambue hawa ni wanadamu na siku ya kihama tutakuwa upande mmoja wa kuukumiwa tukisubili ukumu,aina mana kuwa wao viongozi wa dini basi mambo safi kule wanapita tu sizani kama itakuwa hivyo.
Pili tunapaswa kujiuliza umri wa Pengo ni kiasi gani,tunaweza kumlaumu kumbe uwezo wake wa kufikili umeshuka,tumeambiwa katika maandiko dini kuwa umri wa kuishi kwa mwanadamu wa sasa ni miaka kadhaa nje ya hapo ujaa tabu,tujiulze Pengo katika huko,inawezekana mtu aliyeenda kumtumia mpaka akatamka hayo aligundua uzaifu wa kufikili wa uyu mzee ili ajinufaishe katika utawala.
Naomba niishie hapa na wengine waje na yao.