Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

Barafu hata Napoleon Bonaparte the Great....aliliogopa kanisa. He was a Godless person...I suspect a freemansory....
He concurred almost everything but not Vatican. Kanisa ni institution ya aina yake
 
Mi kaswali kangu ni kale kale,huyu barafu ni mtu mmoja au ni kakikundi ka watu wenye ufahamu wa mambo mbalimbali humu Jf wanamua kumwaga data mbalimbali
Mkuu barafu karibu kwa majibu
Mkuu swali zuri lakini jibu peleka mtoto international lipa ada kubwa wekeza kwenye akili....
 
Reactions: SDG
Ahsante sana barafu
Nimejifunza mengi kupitia andiko hili
 
Kanisa katoliki ukilifuatilia mara zote unagundua kuwa lina dalili zote za kula mlungula. Sishangai hii kauli ya pengo inayokinzana na uhalisia wa wananchi wengi ambao ndio waumini kwa gharama tu ya kutembelewa nyumbani.
mkiambiwa ukweli mnaanza kutoa mapovu, ni mtanzania yupi aliyepunguziwa mshahara?, ni bidhaa gani unayozalisha iliyoshuka bei na kuiathiri mapato yako?Mnataka kumlisha maneno mtumikia Mungu?. Laana iko juu yenu
 

Hii formula inaweza ikakusaidia kuishi kwa Amani ktkt ya Jamii mahalia [emoji120] [emoji117]

-Usimchukie Mwanadamu yeyote..

-Usiogope..

-Ujitoe ktk Shida na Raha kwenye Jamii inayo kuzunguka..

-Yaishi Maisha rahisi kama ulivyo usitake kuishi kama walivyo...

Tukirudi kwenye Imani, wewe lugha Imani ya waumini wa Yesu inawezekana huifahamu kwa kina [emoji15] [emoji4] kwanza kwa muumini Mkristo kukiri kwamba hali ni Mbaya na kulia lia kama ufanyavyo ni kufuru, sababu Mungu ameelekeza Kushukuru kwa yoote na siku zoote tufurahi!; na Yesu Ametualika kwa wale wanaoelemewa na mizigo twende kwake tu! Ili Atutatulie Matatizo Yetu kisha tupumzike na mizigo iliyo tuleemea [emoji106] sababu amelaaniwa Amtegemeaye Mwanadamu mwenzie..[emoji120] Ninaamini as Pengo hana Pepo ya kunipa...[emoji12]
 
Hili jukwaa linaitwa [HASHTAG]#JamiiInteligence[/HASHTAG]
Huku hatutukanani...Tunashindana kwa hoja;ukianza kubatiza watu majina kama "Punguani",watu wanakuwa wanashangaa kuwa wewe jukwaa kama hili si "size yako"
Acha unafki wanaofaa ni wanaomuita Pengo takataka?
 

= gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…