bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,880
- 24,933
“Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo” Habibu Mchange. Naomba kuuliza wataalamu wa mambo ya sheria humu JF kama ifuatavyo.
1. Tamko kama hili sio kuingilia mwendendo wa shauri ambalo lipo mahakamani?
2. Heche anahusika vipi kuzuia mahakama kufanya maamuzi yake?
3. Lisu anajitetea mwenyewe mahakamani na ndio victim yeye hajaona kua Heche ndio tatizo isipokua Mchange?
4. Tangu lini kesi ya uhaini ikamalizwa kwa maridhiano?
5. Anaposema sisi tunajua aliambiwa na nani?
Maswali ni mengi kuliko majibu