Huyo Mchange ni Mhuni tu. Kama wanaofaidika ni akina Heche kwa nini wasimuachie ili wasifaifike. Kwa nini kesi iliyopo kisheria inaendelea kwa sababu ya kundi fulani? Na kwa nini anataka imalizwe kwa maridhiano? MCHANE NI MUHUNI TU.“Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo” Habibu Mchange. Naomba kuuliza wataalamu wa mambo ya sheria humu JF kama ifuatavyo.
1. Tamko kama hili sio kuingilia mwendendo wa shauri ambalo lipo mahakamani?
2. Heche anahusika vipi kuzuia mahakama kufanya maamuzi yake?
3. Lisu anajitetea mwenyewe mahakamani na ndio victim yeye hajaona kua Heche ndio tatizo isipokua Mchange?
4. Tangu lini kesi ya uhaini ikamalizwa kwa maridhiano?
5. Anaposema sisi tunajua aliambiwa na nani?
Maswali ni mengi kuliko majibu
anavyosema "SISI" kwamba na yeye ni mtu wa serikali au“Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo” Habibu Mchange. Naomba kuuliza wataalamu wa mambo ya sheria humu JF kama ifuatavyo.
1. Tamko kama hili sio kuingilia mwendendo wa shauri ambalo lipo mahakamani?
2. Heche anahusika vipi kuzuia mahakama kufanya maamuzi yake?
3. Lisu anajitetea mwenyewe mahakamani na ndio victim yeye hajaona kua Heche ndio tatizo isipokua Mchange?
4. Tangu lini kesi ya uhaini ikamalizwa kwa maridhiano?
5. Anaposema sisi tunajua aliambiwa na nani?
Maswali ni mengi kuliko majibu
Acha kujadili wajinga“Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo” Habibu Mchange. Naomba kuuliza wataalamu wa mambo ya sheria humu JF kama ifuatavyo.
1. Tamko kama hili sio kuingilia mwendendo wa shauri ambalo lipo mahakamani?
2. Heche anahusika vipi kuzuia mahakama kufanya maamuzi yake?
3. Lisu anajitetea mwenyewe mahakamani na ndio victim yeye hajaona kua Heche ndio tatizo isipokua Mchange?
4. Tangu lini kesi ya uhaini ikamalizwa kwa maridhiano?
5. Anaposema sisi tunajua aliambiwa na nani?
Maswali ni mengi kuliko majibu
hayo ni maswali au porojo tu gentlemanHaya maswali magumu kwa chawa tulia
Habib Mchange ni CCM anawezaje kuwa msemaji wa CHADEMA? CCM wamevurigwa“Sisi tunajua Lissu alifanya Makosa ndio maana Familia ya Lissu iko tayari kwa maridhiano lakini Heche anafanya kila namna kuzuia maridhiano hayo” Habibu Mchange. Naomba kuuliza wataalamu wa mambo ya sheria humu JF kama ifuatavyo.