Kauli hii ya Rais Magufuli inaashiria kuwa kuna matamshi mengine anatoa kwa kutumia mamlaka yake vibaya

Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.

Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
View attachment 1466875
Ccm ni chama ambacho kina amini katika misingi ya demokrasia na kwa mantiki hiyo lazima kura za maoni zipigwe. Hapo JPM alikuwa anachomekea utani. Nyie mnaleta propaganda za kizamani.
 
Kichwa kilishaharibika kwa bangi uanatafuta sababu
Najaribu kuwaza waliwezaje kutoa ubongo wako na kujaza makamasi bila kufanya operesheni!? Kweli dunia ina maajabu.
 
Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.

Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
Hakuna marefu yasiyo na ncha

Jr[emoji769]
 
Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.

Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
Hii post yako naiunga mkono. Inaonesha kuwa pamoja na kwamba huipendi CCM na Rais Magufuli bado unakiri kuwa 2020 LAZIMA CCM na Rais Magufuli watashinda uchaguzi!
 
Nyuzi kama hizi huwezi kusikia viazi Bia Yetu, ussr wakijihusisha nazo. Kwao hii ni sehemu ya uongozi bora.

Utasikia walio na mawazo tofauti wanaitwa pingapinga. Hivi kweli kauli hizi zinajenga nchi hii, kazi unapewa kwa sababu uligombea tu ubunge???
 
Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.

Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
Huyo ni raisi ana mteua yeyote anae taka ambae si mwana demokrasia ni MBOWE hakupi nafasi ya kugombea ubunge mpaka uingie nae mkataba umlipe laki tano na Kama Ni viti maalumu umlipe 1.5 ml na na ngono juu
 
Haya naona atateua wale wapiga miluzi wake
 
Huyo ni raisi ana mteua yeyote anae taka ambae si mwana demokrasia ni MBOWE hakupi nafasi ya kugombea ubunge mpaka uingie nae mkataba umlipe laki tano na Kama Ni viti maalumu umlipe 1.5 ml na na ngono juu
Noma sana.
 
Hii kauli haikupaswa kutolewa na rais asipoangalia ataacha legacy mbaya ambayo haijaeahi kutokea
 
Inakuaje Wajanja mtawaliwe na Mshamba?
Tanzania washamba wengi kuliko wajanja.

Pia,

As the good book say in Ecclesiastes 9:11

(This is purely on a cultural basis, not a religious one).

“I returned, and saw under the sun, that the race is not to the swift, not the battle to the strong, neither yet bread to the wise, nor yet riches to men of understanding, nor yet favour to men of skill; but time and chance happeneth to them all.”

Hii aya ni muhimu sana na ukiieleea utaelewa unaweza kuoata ukubwa kwa chance tu bila ya kuwa na uwezo, na unatakiwa ujue kuishi na watu vizuri na kufanya kazi na wengine vizuri.

Usipouelewa ndiyo unajiona umeoata ukubwa kwa akili zako, na wengine wote walio chini yako hawana akili kama wewe.

Leo umenirudisha kwenye Biblia mkuu.
 
Back
Top Bottom