kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Ccm ni chama ambacho kina amini katika misingi ya demokrasia na kwa mantiki hiyo lazima kura za maoni zipigwe. Hapo JPM alikuwa anachomekea utani. Nyie mnaleta propaganda za kizamani.Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
View attachment 1466875
Inabidi wapate kibali cha TCRA ya TCRA kwanza.Mkuu kunawanaa hapa hawachelewi kukusonteshea tcra
Najaribu kuwaza waliwezaje kutoa ubongo wako na kujaza makamasi bila kufanya operesheni!? Kweli dunia ina maajabu.Kichwa kilishaharibika kwa bangi uanatafuta sababu
yaani nilimbukeni wa madaraka hana heshima ya utawaala na misingi ya demokurasiaMagufuli ni mshamba mshenzi.
Sema kula za maigizo lazima zipigweHuo ni utani tu wa JPM akiwa jukwaani. Kula za maoni lazima zipigwe. Acheni utoto.
Hakuna marefu yasiyo na nchaKiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
Kuna kula za maigizo hapa Tanzania.?Sema kula za maigizo lazima zipigwe
Hii post yako naiunga mkono. Inaonesha kuwa pamoja na kwamba huipendi CCM na Rais Magufuli bado unakiri kuwa 2020 LAZIMA CCM na Rais Magufuli watashinda uchaguzi!Kiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
Jitambue!!Kuna kula za maigizo hapa Tanzania.?
Huyo ni raisi ana mteua yeyote anae taka ambae si mwana demokrasia ni MBOWE hakupi nafasi ya kugombea ubunge mpaka uingie nae mkataba umlipe laki tano na Kama Ni viti maalumu umlipe 1.5 ml na na ngono juuKiukweli hii si kauli ya Rais mwana demokrasia na ambaye amepita kwa demokrasia.
Haya ndiyo mambo yanayomfanya Job Ndugai kufanya mambo kwa ubabe kwani ana hakika ndiyo njia sahihi kwa kuangalia mfumo wa kiuongozi awamu hii.
Haya naona atateua wale wapiga miluzi wakeHuyo ni raisi ana mteua yeyote anae taka ambae si mwana demokrasia ni MBOWE hakupi nafasi ya kugombea ubunge mpaka uingie nae mkataba umlipe laki tano na Kama Ni viti maalumu umlipe 1.5 ml na na ngono juu
Noma sana.Huyo ni raisi ana mteua yeyote anae taka ambae si mwana demokrasia ni MBOWE hakupi nafasi ya kugombea ubunge mpaka uingie nae mkataba umlipe laki tano na Kama Ni viti maalumu umlipe 1.5 ml na na ngono juu
Magufuli ni mshamba mshenzi.
Usafi wa kinywa na manenoMagufuli ni mshamba mshenzi.
Tatizo lipo wapi kula za maoni lazima sifanyike kam kawaida. Asifanye utani mnakomaa kama manaharisha uhaloHii kauli haikupaswa kutolewa na rais asipoangalia ataacha legacy mbaya ambayo haijaeahi kutokea
Tanzania washamba wengi kuliko wajanja.Inakuaje Wajanja mtawaliwe na Mshamba?