Kauli hii ya Rais Magufuli inaashiria kuwa kuna matamshi mengine anatoa kwa kutumia mamlaka yake vibaya

Kabla hatujaenda kwenye facts kajifunze kuandika kwanza

Sitaki kukupa nafasi ya kukimbia mjadala wa facts.

Nasahihi typographical error. What you did was an ad hominem attack, you failed to address the factual points, you attacked the person who advanced the points.

Typical low art manipulation.

Usafi wa akili na uelewa ni muhimu zaidi.

Let's argue facts.

Fact 1. Magufuli mshamba. Hata Kiswahili hajui, seuze Kiingereza.

Fact 2. Magufuli ni mshenzi. Kasema atawapiga mpaka shangazi za wapinzani wake. Hii ni kauli ya kishenzi.

Lete facts tujadili.
 
Inasikitisha kweli watanzania tumekosea sana awamu hii.
 
Mshenzi ni wewe unayelala sebureni kwa Mbowe Mugabe!
Wewe ngumbaru hujui hata kuandika sebule, unaandika sebure.

Na wewe mshenzi tu, ndiyo maana unamkubali mshenzi mwenzio Magufuli.
 
Democracy sio universal, bali democracy hutafsiriwa kulingana na mazingira na eneo pia...

Aidha sababu na mahusiano kati ya mtoa kauli na mpokea kauli huwa nguzo kuu katika kutafuta muktadha wa kilichosemwa.

Mfano;
Aliwaambia wahaya ukimwi ulianzia kwenu, vita kwenu na sasa tetemeko kwenu.

MUKTADHA
1. Wasukuma na Wahaya ni watani na utani hauna mipaka.

2. Alisema waliogombea na Spika Ndugai jimboni aliwapa ukurugenzi na U DC

Wagogo na Wasukuma ni watani
 
NABII TUNDU LISSU ALISHATABIRI DIKTETA UCHWARA LKN SASA KAZI AMBAYO TULIMWACHIA PEKE YAKE JAMAA AMEKUA DIKTETA KAMILI
 

Ni Rais mwenye vimelea vya Udikteta tu ndio awexa kutoa matamishi yenye ukakasi kama haya....!!!!
 

Hakuna utani kwenye Katiba ya JMT.
Kama kuna kifungu Cha utani kwenye Katiba ebu kitaje..!!!
Magufuli alivunja nyumba za Wakazi wa Mbezi/Kimara kwa kisingizio Cha kupanua barabara lakini Mwanza mjini akasema Hakuna kuvunja nyumba maana HAO WALIMPIGIA KURA! Huo Ni ubaguzi wa kipuuzi na alifanya kusudi kwa vile Mbezi/Kimara ziko chini ya CHADEMA! Non-sense.
 
Unapoingia kwenye bafu la watu wengi ukakuta nywele huwezi jua ni za sehemu gani hasa ya mwili?

Kuhusu utani kule kwetu ufipani tuna utani na wangoni na wanyakyusa ikitokea msiba wa Mfipa mngoni hujitanguliza yeye kaburini na hatoki hadi apewe hela na hakuna mamlaka yeyote ya Serikali inaweza kuingilia.
 

Huo ni utani wa kipuuzi na kihuni na hauna tija kwa Jamii yoyote iliyo staarabika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…