Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sijawahi ulizwa hivyo jamani, hebu atokee malaika wa hivyo
HahaaaaaUnazijua aina za pembe wewe? Nitajie moja
Ha haaa mtu apite aone hii comment, nimechekaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahhahh wapo sana tuSijawahi ulizwa hivyo jamani, hebu atokee malaika wa hivyo
Ha haaa siku ikitokea hivyo kwangu naenda church kuomba misa
Sina bahatiHahahahhahh wapo sana tu
Unazijua buanaHahaaaaa
Hata sizijui fundi
Mmhh weweee🙈🙈🏃🏃
Hata mm mdogo angu naogopa utamuua pia...Wifi yako mtu wa imani sana, ni wife material aliyetulia, sema sasa Mangi naogopa kuja kumtesa na mawazoo......
Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu flan hivi upi funguka tuujue mkuuKuna vitu flan ni unique sana vinapatikana bongoland tu
Upumbavu flan iv lakn ni entertainment sana
Sent using Jamii Forums mobile app
😎😎
Mmhh weweee[emoji85][emoji85][emoji125][emoji125]
Mfyuuuu😂😂hamu gani??