NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 591
hapana jamani mimi ni mfanyakazi wa hapo bodi ya mikopo ila ni kwamba imeonekana idadi kubwa ya wadahiliwa walikimbilia ualimu hivyo inatukoroga akili mpaka sasa,pia majibu nazani mpaka leo juma tatu saa sita kila kitu kitakua wazi ila hakuna mwanafunzi mwenye haki ya kupata mkopo atakosa ila ikitokea umekosa basi ujue huna vigezo yaani
---wewe sio kipaombele cha taifa mf digree ya sheria,kiswahili nk
----imeonyesha wazazi wako wana uwezo kulingana na education background yako
-----na mengineyo mengi
AHSANTENI
Hiyo leo saa sita itafika tu hamna tabu kabisa!! I'll ndo jiandae na mabango ikitokea umedanganya!!