Kauli kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu soma hapa


Hiyo leo saa sita itafika tu hamna tabu kabisa!! I'll ndo jiandae na mabango ikitokea umedanganya!!
 

Hata wangesema ni tarehe 10 October itafika tu! siku hazigandi bhana
 
Kwa habari za kutia kiwewe hili jukwaa linatisha mno...maana sasa presha yangu ilikuwa kawaida, ila naona sasa mwazidi kuipandisha....!
 
Sasa hivi naona kule heslb.com kuna 13 bots online
wewe mfanya kazi wa HESLB hiyo inamaanisha nini??
 

Mkuu we kama mtumishi wa heslb, fafanua kipengele hiki "In addition the system (means test system) shall make an adjustment to cover for loan applicants with special social economic disadvantages such as orphanage, applicants with disabilities and single parency" Pia fafanua %<50%, i.e, 49%-0% hupewa applicants category ipi, kwani priority programmes under means testing zina garantee not below 50%. Waiting.....
 

kama ulivyokimbia CCM,angalia ucjeukakimbia na huku JF kwa kutupa matumaini hewa. Haya tutahakikisha tu hivi punde.
 
mona utata hauishi? ipi ni ipi? sa6 au tar. 1-3, apatikane wa kumaliza utata bac
 
Mkuu NIMEKIMBIA CCM, hili ni jukwaa la GREAT THINKERS unatakiwa kila unapotoa comments andaa mazingira ya watu kukuamini, kiukweli watu tumechoshwa na hizi kauli za kesho.keshoo,keshooo,keshoooo,
ina maana cku zote hz watu wanabishana,kuhusu heslb we hujaona mbona haukutukuweka wazi??
je una uhakika na leo saa sita?
 
Ambaye yuko na access na gazeti la NIPASHE la leo asome atuelezee kuna habari kuhusu bodi ya mikopo
 

si umeona ulivyo LIONGO!!!!! nenda kajipange huko...sijui umekimbia ccm umeenda wapi wakati wewe ni lifisadi tena liongo!!!!!
 

lazima uwe mlinzi wa getini heslb
taarifa yako ya kiongo ongo
 

hv ikatokea ukakosa mkopo na priority yako hiyo utasemaje na umejipa 100 sure lazma upate?? Kuna pips zinapga civil eng,,science eductn wamechaguliwa last year na wamekosa n still kuna pipo zinapga sociology na mkopo wanao,,,unasemaje hapo??? Au unafkr hz prio na non prio zimeanza dic year????....kiroho safi tu,,,,,
 
Nimekimbia ccm naweze kukunga mko coz kuna mdau yupo huko huko heslb ameniambia k2 hcho hcho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…