Kauli mbalimbali za kujifariji, kujikubali na kuringa na kitambi chako

  1. Kitambi ni ishara ya neema na amani ya nafsi.
  2. Kitambi ni heshima, si kila tumbo lina bahati ya kupata.
  3. Kitambi ni alama ya ustawi na utulivu wa maisha.
  4. Kitambi ni kitega uchumi cha tabasamu na heshima mtaani.
  5. Kitambi hakiombwi, kinakuja kwa wale waliotulia.
  6. Kitambi ni taji la waliofanikiwa kula vizuri na kupumzika.
  7. Mwenye kitambi hajawahi kupungukiwa na ukarimu.
  8. Kitambi ni vazi la asili la fahari na haiba.
 
IMG-20260920-WA0412.jpg
 
Kitambi ni benki ya akiba ya chakula, huna haja ya hofu ya njaa.

Mwenye kitambi haitaji mto, anasafiri na raha yake mahali popote.

Kitambi ni ushahidi kwamba meza yako haijawahi kukauka msosi.

Ukiona kitambi ujue maisha yamekubali, hayana msongo wa mawazo.

Kitambi ni wimbi la neema lililotulia kiunoni.

Kitambi ni uchoraji wa asili unaoonyesha utulivu wa nafsi na furaha ya moyo.

Kama vile mlima unavyopendezesha nchi, kitambi kinapendezesha umbo la mtu.

Kitambi ni sauti ya ushindi dhidi ya shida za ulimwengu.
 
Aisee!, Kitambi ni maradhi mabaya sana...
 
Na sisi ambao familia nzima, sio tu kitambi, bali tumbo na kifua ni kama vimenyooshwa kwa pima maji tunaruhusiwa kuchangia?
 
Back
Top Bottom