Kauli mbiu "hakuna kuachika, haachiki mtu"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh..Mama Sabrina kapata mtu anayejua kupapasa..
Duuh..Ili swala la kuloweshwa na sauti limeshakuwa fashion..Ngoja na mimi nikamuulize mtarajiwa wangu.
 
Mfyuuuuuu kwa nn uliuliza hilo swali na ulivyojibiwa umechanganyikiwa
Haaaa...mimi si nimeuliza kutokana na mstari wake kwenye uzi wakukabidhi mwili wake wote bila kujali ni sehemu gani ya mwili,,sasa mimi nikauliza swali ili kama ni marekebisho yakafanyike uzini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwendraaaaa uko
 
Kama mtarajiwa sauti yangu haimloweshi inabidi nijifikirie mara mbili aisee..
Hahaha sasa mkuu unafikiri hilo nijambo jepesi???

Hapo ukute mtarajiwa wako anadaiwa vicoba, imebaki mwezi mmoja kodi yake ya nyumba iishe,zimebaki week mbili kodi yake ya kafrem kake ka duka lake la vipodozi iishe unafikiri kutakua na maelewano hapo?..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndio amuwezeshe sasa ili mtarajiwe akisikia sauti yake alowe [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…