General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Bibie stress zitakuua.Daktare wangu G
Kwa maelezo yako tu, unaonekana mwongo sana.
Sema unataka mume usaidiwee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibie stress zitakuua.Daktare wangu G
Unatamani hapo ungekuwa GAisee
Davet is a good guyAcha nikanyage tu kama lijitu halieleweki unaachana nalo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mimi sikuli huko,,mimi nakula njia sahihi tuUnatamani hapo ungekuwa G
Davet is a good guy
Usimwache kirahisi
Ikitokea shida mtasuluhisha
Teh teh..Mama Sabrina kapata mtu anayejua kupapasa..Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91] na mm nasema mkulane tu hakuna kuachika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana mimi sikuli huko,,mimi nakula njia sahihi tu
Teh teh..Mama Sabrina kapata mtu anayejua kupapasa..
Duuh..Ili swala la kuloweshwa na sauti limeshakuwa fashion..Ngoja na mimi nikamuulize mtarajiwa wangu.
Kama mtarajiwa sauti yangu haimloweshi inabidi nijifikirie mara mbili aisee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh uziri mi na jamaa huwa tunaelewana ntakuja na kanzu yangu kusuluhisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka akee we ndio utakuwa msuluhishi eenh unavyomtetea sasa
Haaaa...mimi si nimeuliza kutokana na mstari wake kwenye uzi wakukabidhi mwili wake wote bila kujali ni sehemu gani ya mwili,,sasa mimi nikauliza swali ili kama ni marekebisho yakafanyike uzini [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuuu kwa nn uliuliza hilo swali na ulivyojibiwa umechanganyikiwa
Kama mtarajiwa sauti yangu haimloweshi inabidi nijifikirie mara mbili aisee..
Teh teh uziri mi na jamaa huwa tunaelewana ntakuja na kanzu yangu kusuluhisha[emoji23]
Kwendraaaaa ukoHaaaa...mimi si nimeuliza kutokana na mstari wake kwenye uzi wakukabidhi mwili wake wote bila kujali ni sehemu gani ya mwili,,sasa mimi nikauliza swali ili kama ni marekebisho yakafanyike uzini [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha sasa mkuu unafikiri hilo nijambo jepesi???Kama mtarajiwa sauti yangu haimloweshi inabidi nijifikirie mara mbili aisee..
Ndio amuwezeshe sasa ili mtarajiwe akisikia sauti yake alowe [emoji16][emoji16]Hahaha sasa mkuu unafikiri hilo nijambo jepesi???
Hapo ukute mtarajiwa wako anadaiwa vicoba, imebaki mwezi mmoja kodi yake ya nyumba iishe,zimebaki week mbili kodi yake ya kafrem kake ka duka lake la vipodozi iishe unafikiri kutakua na maelewano hapo?..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kama nakuona na kanzu yako ulivyomtetea jamani