Kauli mbiu "hakuna kuachika, haachiki mtu"

Well well well asante sana mama S, sijui nianzie wapi lakini kiukweli kabisa wewe ni furaha yangu na hii boti nitajaribu kuiweka kati muda wote isije gonga mwamba.
Haigongi mwamba wala nini tunafika tunapoenda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Umeharibu kwenye hiyo picha tu
 
Well well well asante sana mama S, sijui nianzie wapi lakini kiukweli kabisa wewe ni furaha yangu na hii boti nitajaribu kuiweka kati muda wote isije gonga mwamba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] finalyy here u a!!Mr G wa Dina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…