Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haigongi mwamba wala nini tunafika tunapoenda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Well well well asante sana mama S, sijui nianzie wapi lakini kiukweli kabisa wewe ni furaha yangu na hii boti nitajaribu kuiweka kati muda wote isije gonga mwamba.
Ni picha tu mim sio mzunguKwaiyo wewe ndiyo mzungu ivyo?
Be positive nakuheshimu sanaHaya maneno si bure haya kuna mtu katupiwa vijembe
Unatibu mambo mengiii
Kusema tusifanye yetu kule kwa Kagame!Jambo gani umehudhunika badala ya mimi tena
We tulikuruhusuu mpenziKusema tusifanye yetu kule kwa Kagame!
Ehee, Unatibu nini mkuu!?Unatibu mambo mengiii
Umeharibu kwenye hiyo picha tuAma ni dhahabu nimeiokota kwenye kokoto nyingi sana,ila usijezidisha mahaba nikapagawa nikawa mwehu wa mapenzi,nipe kidogo nisijekutafuna mpaka mifupa,wajua toka nimekuwa nawe damu yangu inasambaa mwili mzima zile sehemu ilikuwa imeganda zimeyeyuka,mapigo yangu ya moyo yanaenda vizuri kama saa ukutani.hewa imeongezeka kuwa nzurii na ya kuvutia.kuwa karibu yako nanukia kama maua Uwaridi.
NItakuganda kama Ruba sijaona a wala b sikuwahi kujua mapenzi matamu kiasi hiki zamani hawakuniwezea kitu walikomea sebuleni lakin we umepita umefumua maji yaliyojificha chumbani yamemwagika mpaka uwanjani,umefanya nikikuona au nikikusikia tu chupi inalowanaa naivua naitupa angani ukinizaba kibao cha makalio yangu nabinuka zaidi ili unibinye zaidi huku nikihema karibu na lips zako .
Vile ukinikamata na kuniita 'Mama Sabrina " nahisi dunia tunaimiliki sisi wengine shamba boy wetu
Acha uwe wangu tu sahau kuachika wala siachiki sitopata kama wewe ,sitopata anaecheka kama wewe,anaeongea kama wewe anaenisikiliza kama wewe ,anaenipa furaha kama wewe, anaenijigijigi kama wewe "you are so special "upo tofauti na watu wengine kama ni mchezaji we ni zaidi ya Ronaldo zaidi ya Messi
Acha nikufikiriee acha nikupende nikupe mwili wangu uumiliki wote uufanye unavyotaka ni ruksa (brash ruksa G) tupeane mapenzi mpaka watu na miti wanyama waige kwetu ,navyokupenda ndio kama nimeanza leo kupenda nachukia kwanini sikukujua mapema,najuta kwanini sikukuona mapema ningekuwa kwenye sayari yetu zamani sana,ningeingia kwenye himaya yako na kuwa queen siku nyingi,vile unanivutia hata aje nani sikuachii nipo tayari kubeba bunduki kwa yeyote atakaekugusa hata kucha ,nitakulinda kama roho yangu ,nitakubeba utakapoanguka sijali iwe masika au kiangazi utakuwa wangu mpaka Mungu atutenganishe kwa mapenzi yake,,
Ntakuwa nuru kwako ukipata giza,nitakupa furaha na sio maudhi ,hata nikikukuta umechepuka nakuchukua nakupa na polee mpenzi wangu G,kama kuniroga niroge tu nikupendee kwaajili yako sipotezi kitu ,kama kuwa msukule wako niwe tu safari hii umeniwezaa sisikii la muadhini wala la mhubiri umeniteka nimekubali kila kitu nimeweka chini,nitakupa heshima ambayo ndio kitu kikubwa kwa mwanaume.Nitakupenda mpaka Shetani aombe hakuna kipya cha kututenganisha (hakuna kuachika)
Oooow nimekumbuka Madrid ilifunga 3 mpenzi nitakupa hata 10 furaha yako ni yangu umapepe nishautupa kule, kwako Mama sabrina ni kama maji mtungini nimetulia nasubiri uninywee nisambae mwilini mwako,mapenzi ninayo yamenijaa mpaka yanamwagikia,utamu juu ya utamu ,usisahau vile venye napenda eeeee umenishika nimeshikamana,unavyonidekeza nadeka kwa rahaa .unavyonibembeleza nalainika kama jojoo
G roho ya Mama Sabrina,Moyo wangu mimii maini yangu G unajua vyenye nakupenda kuzidi ,kama nawaona wale wapweke walokosa upendo wakisonya ee tutaona watafika wapi wataachana tu ,ni hivi hatuachani endeleeni kusubiri meli airport kuwazia mabaya wenzenu tu tafuteni upendo mtapata wala msiwaze Mama Sabrina nikisema nimesema siachikii namuiga Faraja Nyalandu hakuna kuachika ,unaachika unaenda kukutana na majambazi aku
G wangu,Melvin wangu memee Nakupenda we mwanaume,nakupendaaa baba angu [emoji8][emoji8] upendo ukipungua nakuroga uongezeke mara mia hakuna kwenda sehemu hapa hapa kwa shombe shombe la kisomali halaf mpenzi sichambani tena watakaotoa povu siwachambi kabisaa nakusikiliza wewe tu uliyosema yote nayatekeleza
Itaendelea............
View attachment 788377
Unatibu figo,kongosho google uoneEhee, Unatibu nini mkuu!?
P8cha nzuri hiyoo FaizUmeharibu kwenye hiyo picha tu
Nilitaka tu nyongeza, Mama alinipaka mkojo utotoni nilipokuwa navimbewa, Alinipaka tena pia ktk macho asubuhi nilipokuwa na matatizo ya kutoona vizuri ama kuumwa macho.Unatibu figo,kongosho google uone
Yes unatibu na macho unajidondoshea vitoneNilitaka tu nyongeza, Mama alinipaka mkojo utotoni nilipokuwa navimbewa, Alinipaka tena pia ktk macho asubuhi nilipokuwa na matatizo ya kutoona vizuri ama kuumwa macho.
Hapo sawa, Hapo nimekukubali.We tulikuruhusuu mpenzi
WoooiiiiiWell well well asante sana mama S, sijui nianzie wapi lakini kiukweli kabisa wewe ni furaha yangu na hii boti nitajaribu kuiweka kati muda wote isije gonga mwamba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] finalyy here u a!!Mr G wa DinaWell well well asante sana mama S, sijui nianzie wapi lakini kiukweli kabisa wewe ni furaha yangu na hii boti nitajaribu kuiweka kati muda wote isije gonga mwamba.
Shukrani ujumbe wako kausoma leo anapita pita hapaHapo sawa, Hapo nimekukubali.
Mpe hai Mr G, Mpe hai Melvin, Mwambie reginaldkaijage anakupa hongera kwa kumpata jike mwema.