carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Chinekeeeee!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
You dont even care?
Mweeh!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Uje nyumbani kule nikusalimie vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chinekeeeee!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
You dont even care?
Mweeh!
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ukiachika kwa Davet shauri yakooMambo ni [emoji91][emoji91][emoji91] na mm nasema mkulane tu hakuna kuachika
AsanteeePole kwa ban shemeji
Nitake tu hajarHahahaaa. Lol.
Sitaki mie Mama Sabrina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kama chizi kama wanamwiba wamwibe tuUkiachika kwa Davet shauri yakoo
Ama ni dhahabu nimeiokota kwenye kokoto nyingi sana,ila usijezidisha mahaba nikapagawa nikawa mwehu wa mapenzi,nipe kidogo nisijekutafuna mpaka mifupa,wajua toka nimekuwa nawe damu yangu inasambaa mwili mzima zile sehemu ilikuwa imeganda zimeyeyuka,mapigo yangu ya moyo yanaenda vizuri kama saa ukutani.hewa imeongezeka kuwa nzurii na ya kuvutia.kuwa karibu yako nanukia kama maua Uwaridi.
NItakuganda kama Ruba sijaona a wala b sikuwahi kujua mapenzi matamu kiasi hiki zamani hawakuniwezea kitu walikomea sebuleni lakin we umepita umefumua maji yaliyojificha chumbani yamemwagika mpaka uwanjani,umefanya nikikuona au nikikusikia tu chupi inalowanaa naivua naitupa angani ukinizaba kibao cha makalio yangu nabinuka zaidi ili unibinye zaidi huku nikihema karibu na lips zako .
Vile ukinikamata na kuniita 'Mama Sabrina " nahisi dunia tunaimiliki sisi wengine shamba boy wetu
Acha uwe wangu tu sahau kuachika wala siachiki sitopata kama wewe ,sitopata anaecheka kama wewe,anaeongea kama wewe anaenisikiliza kama wewe ,anaenipa furaha kama wewe, anaenijigijigi kama wewe "you are so special "upo tofauti na watu wengine kama ni mchezaji we ni zaidi ya Ronaldo zaidi ya Messi
Acha nikufikiriee acha nikupende nikupe mwili wangu uumiliki wote uufanye unavyotaka ni ruksa (brash ruksa G) tupeane mapenzi mpaka watu na miti wanyama waige kwetu ,navyokupenda ndio kama nimeanza leo kupenda nachukia kwanini sikukujua mapema,najuta kwanini sikukuona mapema ningekuwa kwenye sayari yetu zamani sana,ningeingia kwenye himaya yako na kuwa queen siku nyingi,vile unanivutia hata aje nani sikuachii nipo tayari kubeba bunduki kwa yeyote atakaekugusa hata kucha ,nitakulinda kama roho yangu ,nitakubeba utakapoanguka sijali iwe masika au kiangazi utakuwa wangu mpaka Mungu atutenganishe kwa mapenzi yake,,
Ntakuwa nuru kwako ukipata giza,nitakupa furaha na sio maudhi ,hata nikikukuta umechepuka nakuchukua nakupa na polee mpenzi wangu G,kama kuniroga niroge tu nikupendee kwaajili yako sipotezi kitu ,kama kuwa msukule wako niwe tu safari hii umeniwezaa sisikii la muadhini wala la mhubiri umeniteka nimekubali kila kitu nimeweka chini,nitakupa heshima ambayo ndio kitu kikubwa kwa mwanaume.Nitakupenda mpaka Shetani aombe hakuna kipya cha kututenganisha (hakuna kuachika)
Oooow nimekumbuka Madrid ilifunga 3 mpenzi nitakupa hata 10 furaha yako ni yangu umapepe nishautupa kule, kwako Mama sabrina ni kama maji mtungini nimetulia nasubiri uninywee nisambae mwilini mwako,mapenzi ninayo yamenijaa mpaka yanamwagikia,utamu juu ya utamu ,usisahau vile venye napenda eeeee umenishika nimeshikamana,unavyonidekeza nadeka kwa rahaa .unavyonibembeleza nalainika kama jojoo
G roho ya Mama Sabrina,Moyo wangu mimii maini yangu G unajua vyenye nakupenda kuzidi ,kama nawaona wale wapweke walokosa upendo wakisonya ee tutaona watafika wapi wataachana tu ,ni hivi hatuachani endeleeni kusubiri meli airport kuwazia mabaya wenzenu tu tafuteni upendo mtapata wala msiwaze Mama Sabrina nikisema nimesema siachikii namuiga Faraja Nyalandu hakuna kuachika ,unaachika unaenda kukutana na majambazi aku
G wangu,Melvin wangu memee Nakupenda we mwanaume,nakupendaaa baba angu [emoji8][emoji8] upendo ukipungua nakuroga uongezeke mara mia hakuna kwenda sehemu hapa hapa kwa shombe shombe la kisomali halaf mpenzi sichambani tena watakaotoa povu siwachambi kabisaa nakusikiliza wewe tu uliyosema yote nayatekeleza
Itaendelea............
Ndiyo nini sijaelewa mimi ujue.
[emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Chinekeeeee!!
Uje nyumbani kule nikusalimie vizuriView attachment 788405
Jamani unakimbiaa[emoji124]
NawahiiiWahi studio na hiyo mistari ukipata prodyuza mzuri utahit balaa..
[emoji1]Jamani unakimbiaa
Ila hakuna kuachika shogaa utaruka mkojo ukanyage mavi,utaacha wangapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kama chizi kama wanamwiba wamwibe tu
Kimbia ukikamatwa na ney[emoji1]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nampa tu ndio bahati yakeAisee hapo kwenye kumpa mwili wako wote ni hatari sana...vipi siku akitaka na 0713? [emoji23] [emoji23]
Daktare wangu GHuna cha G wala H, unatapatapa tu hapa.
Kamwone daktari
Huwezi mziki wanguUkiachika jua nakusubir
Ulivo mtaja ney ndio inabid nikimbie zaid....Kimbia ukikamatwa na ney
AiseeNampa tu ndio bahati yake
Napenda akinibinyaa binya makalio na kuyabusuKitendo kinachofanywa na mkono wa kulia wa huyo mwamba nimekipenda zaidi
Acha nikanyage tu kama lijitu halieleweki unaachana nalo tuIla hakuna kuachika shogaa utaruka mkojo ukanyage mavi,utaacha wangapi