Kauli mbiu "hakuna kuachika, haachiki mtu"

Kauli mbiu "hakuna kuachika, haachiki mtu"

Nimekumbuka comment yako ya siku ile. ID ikanichanganya kidogo. Halafu nikakumbuka.

Umo katika mapenzi mazito. Umo lindini. Umezama. Furahia !!!
Shimba wala usijali ni mimi yule yule kaka uliemuona siku zile,,nimezamaaaa kwa mapenziii mazitooo hata kuchungulia siwezii nataka anizime kabisaa
 
Hakuna kuachika hata mpondeee tumeganda kama rubaaaa shwenziiiiii
Hakuna kuachika shogaaaa mpe mapenzi Mshana mpaka azimie kwa rahaaa ,ukiachika achika utamaliza dunia yote
 
Back
Top Bottom