stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
Kwahiyo ukamuoa[emoji3][emoji3][emoji3]Siku hizi wadada mnajua kung'ang'ania sana, kuna mmoja nilimtania tu ntakuoa kesho yake akaja kwangu na mabegi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ukamuoa[emoji3][emoji3][emoji3]Siku hizi wadada mnajua kung'ang'ania sana, kuna mmoja nilimtania tu ntakuoa kesho yake akaja kwangu na mabegi!
Love u babyIceman thanks shem.
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91] na mm nasema mkulane tu hakuna kuachika
Aisee hapo kwenye kumpa mwili wako wote ni hatari sana...vipi siku akitaka na 0713?
Nampa tu ndio bahati yake
bora leo nimekuona mtotoWacha weee!!
Araaaaa laaaAtampa tu si ndio maana ya Mwili wake wote
Araaaaa laaa