K kichenchele JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 539 Reaction score 176 Sep 19, 2010 #1 kauli mbiu iliyoandikwa ktk mabango ya mgombea wa chama cha mafisadi CCM.. aaah samahani jamani wana JF, CHAMA CHA MAPINDUZI, hivi hii kazi ,Ari zaidi, ni kitu gani kasi zaidi wanakokimbilia wanakufahamu?
kauli mbiu iliyoandikwa ktk mabango ya mgombea wa chama cha mafisadi CCM.. aaah samahani jamani wana JF, CHAMA CHA MAPINDUZI, hivi hii kazi ,Ari zaidi, ni kitu gani kasi zaidi wanakokimbilia wanakufahamu?