Elections 2010 Kauli mbiu isiyo na macho

Elections 2010 Kauli mbiu isiyo na macho

kichenchele

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
539
Reaction score
176
kauli mbiu iliyoandikwa ktk mabango ya mgombea wa chama cha mafisadi CCM.. aaah samahani jamani wana JF, CHAMA CHA MAPINDUZI, hivi hii kazi ,Ari zaidi, ni kitu gani kasi zaidi wanakokimbilia wanakufahamu?
 
Back
Top Bottom