Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
mwananchi akiuguza nduguze wagonjwa katika Zahanati kijijini Kisaki, Bwakila, Morogoro
wagonjwa wakiwa wamelazwa katika Zahanati kijijini Kisaki, Bwakila, Morogoro

Wana JF,
Katika pitapita yangu leo nimeweza kugudua kauli mbiu ya Mh Jakaya atakayo tumia katika uchaguzi mkuu mwaka huu kama ifuatayo:
KASI ZAIDI
NGUVU ZAIDI
ARI ZAIDI
TULIAHIDI TUMETEKELEZA!
Hii ndio kauli mbiu itakayotumika mwaka huu ktk uchaguzi
haoni hata aibu na makauli mbinu yaliyojaa maneno ya uongo
Kuharibu zaidi, kutupeleka na kutuacha pabaya.ari zaidi, nguvu zaidi, kasi zaidi ya kufanya nini?
Wana JF,
Katika pitapita yangu leo nimeweza kugudua kauli mbiu ya Mh Jakaya atakayo tumia katika uchaguzi mkuu mwaka huu kama ifuatayo:
KASI ZAIDI
NGUVU ZAIDI
ARI ZAIDI
TULIAHIDI TUMETEKELEZA!
Hii ndio kauli mbiu itakayotumika mwaka huu ktk uchaguzi
wagonjwa wakiwa wamelazwa katika Zahanati kijijini Kisaki said:Bwakila, Morogoro[/B]/QUOTE]
...Kilichopo KATIKATI ya Miji miwili inayotumalizia hela ikishindana kuwa Mji Mkuu wa Tanzania!!! :mmph: