Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
tunaangushwa na walala hoi na watu wa vijijini, wanashau mapemaa kama kuku,akipewa tshirt hewala kesho anampigia kura
Watu wa vijijini usiwasingizie mbona majimbo ya nje ya miji ndo yameonyesha kutaka mabadiliko kwa kuwachagua wapinzani.
Tusibiri tuone walipo wasomi wa Tanzania UDSM ( Ubunge) mwaka huu kama kweli wanataka mabadiliko. Sisi wa mjini ndo tunamatatizo