Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Jul 2, 2010 #61 RealTz77 said: tunaangushwa na walala hoi na watu wa vijijini, wanashau mapemaa kama kuku,akipewa tshirt hewala kesho anampigia kura Click to expand... Watu wa vijijini usiwasingizie mbona majimbo ya nje ya miji ndo yameonyesha kutaka mabadiliko kwa kuwachagua wapinzani. Tusibiri tuone walipo wasomi wa Tanzania UDSM ( Ubunge) mwaka huu kama kweli wanataka mabadiliko. Sisi wa mjini ndo tunamatatizo
RealTz77 said: tunaangushwa na walala hoi na watu wa vijijini, wanashau mapemaa kama kuku,akipewa tshirt hewala kesho anampigia kura Click to expand... Watu wa vijijini usiwasingizie mbona majimbo ya nje ya miji ndo yameonyesha kutaka mabadiliko kwa kuwachagua wapinzani. Tusibiri tuone walipo wasomi wa Tanzania UDSM ( Ubunge) mwaka huu kama kweli wanataka mabadiliko. Sisi wa mjini ndo tunamatatizo