Kauli mbiu ya CCM Uchaguzi 2025: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Kauli mbiu ya CCM Uchaguzi 2025: Kazi na Utu, Tunasonga Mbele

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Maswali yangu:
1. Kazi gani?
2. Utu gani?
3. Kusonga wapi?
4. Mbele wapi?

1. Ali Kibao
2. Soka et al
3. Ben saa nani
4. Kangoye
na wengineo.
5. Katiba mpya iko wapi
6. Tume huru iko wapi?
etc etc etc

UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
 
1. Ali Kibao
2. Soka et al
3. Ben saa nani
4. Kangoye
5. Katiba mpya iko wapi
6. Tume huru iko wapi?
etc etc etc

na wengineo. UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
Hawa waliuliwa na vijana wa JPM na sio mama Samia 😂
 
Mkuu nchi hii watu wanajiandikia tu vitu bila kuyapima Bora hata JK kauli mbiu ya maisha Bora kwa Kila mtanzania ilionesha matokeo. Ila Hawa kuanzia kwa hapa kazi tu na hii ya Sasa ni utapeli mtupu.
 
Bora yule wa hapa kazi tu, alichapa kazi, watu walichapa kazi. Saiz duuhh,
 
Hiyo ya “utu” mi naona inafaa. Maana hamna makalipio saiz. Ni mwendo ka mserereko.
 
Maswali yangu:
1. Kazi gani?
2. Utu gani?
3. Kusonga wapi?
4. Mbele wapi?

1. Ali Kibao
2. Soka et al
3. Ben saa nani
4. Kangoye
5. Katiba mpya iko wapi
6. Tume huru iko wapi?
etc etc etc

na wengineo. UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
Uchaguzi gani?
 
Maswali yangu:
1. Kazi gani?
2. Utu gani?
3. Kusonga wapi?
4. Mbele wapi?

1. Ali Kibao
2. Soka et al
3. Ben saa nani
4. Kangoye
na wengineo.
5. Katiba mpya iko wapi
6. Tume huru iko wapi?
etc etc etc

UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
kazi ni utu tunaomba waliotekwa na kuuliwa kisiasa watueleze uwezi kuwa na UTU wa ngozi ya kondoo ndani ni mbbwa mwitu
 
Kauli mbiu ya CHADEMA;

No reforms no election

 
Maswali yangu:
1. Kazi gani?
2. Utu gani?
3. Kusonga wapi?
4. Mbele wapi?

1. Ali Kibao
2. Soka et al
3. Ben saa nani
4. Kangoye
na wengineo.
5. Katiba mpya iko wapi
6. Tume huru iko wapi?
etc etc etc

UTU UKO WAPI? KAZI IKO WAPI? TUNASONGA WAPI...kaburini/
Chafuzi za mitaa na itafuata ule uchafuzi mkuu
 
Back
Top Bottom