Uchaguzi 2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

Kumbe unachuki zako na wafanyakazi pole sana. Subiri SGR na HEP zitakuja kukusaidia mkulima ahhhhhh.
Zinduka mdanganyika..
 
Teh teh...yaani wakiitwa wenye akili we nawe utapita, kweli vyeti feki lilikuwa tatizo, hasira zenu za kufutwa kazi kwa vyeti feki zisifikie hatua ya kushabikia nchi kuuzwa, haturudi huko kwenye kuifanya nchi dampo, tuko kwenye kuifanya nchi ikompiti kuuza bidhaa zake nje.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, nilishangaa sana kusikia jamaa tena mwanasheria akitangaza kuifanya nchi dampo tena bila kukusanya kodi, nikajiuliza hayo mengi anayoahidi atapata wapi pesa bila kukusanya kodi? nikapata jibu kwamba TUTAUZWA.
 
Duh.. kweli huyu jamaa katumwa.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, nilishangaa sana kusikia jamaa tena mwanasheria akitangaza kuifanya nchi dampo tena bila kukusanya kodi, nikajiuliza hayo mengi anayoahidi atapata wapi pesa bila kukusanya kodi? nikapata jibu kwamba TUTAUZWA.

Nani atatununua, Trippi?
 
Hiyo slogan ya saccos ya kusema utaleta maendeleo ya watu ni huwafanya watu ni wajinga, kwani ili uweze kufanikiwa ktk hilo ni lazima uwepo kwa yale yalio fanywa na awamu ya tano,hivyo wanavyofanya saccos ni kusaidia treni na kutaka kujifanya kwamba wao ndio walio liona wakati sera ya awamu ya tano ni kufanya hivyo kwa kuanza na miundo mbinu, ambayo sasa inatuwezesha kwenda hilo la watu kwa ubora zaidi
 
Uhuru, haki na maendeleo ya watu bonge moja la kauli mbiu.
 
Kumbe unachuki zako na wafanyakazi pole sana. Subiri SGR na HEP zitakuja kukusaidia mkulima ahhhhhh.
Zinduka mdanganyika..
Kaongea ukweli, uzuri sisi wafanyakazi tunaona pesa inakoenda, tuliambiwa tufunge mikanda hivyo tunaelewa, zingekuwa zinakusanywa na wanafanya ya hovyo kingeshanuka, nchi ni yetu sote, hizo pesa TL anazotuahidi kutupa atazitoa wapi wakati hapohapo anaahidi kufuta kodi?
 
Sawa awamu ya viwanda vya cherehani 6 aka ushonaji.
Wewe mkulima ndio una chuki na wafanyakazi maana ulikimbia shule ,huna budi ukomae na kilimo cha jembe la mkono tu.
Mdanganyika.
 
Mtaji wa ccm ni kuwanyima watu Elimu wanashindwa hata kujitambua tu.
Wadanganyika bado wengi.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, nilishangaa sana kusikia jamaa tena mwanasheria akitangaza kuifanya nchi dampo tena bila kukusanya kodi, nikajiuliza hayo mengi anayoahidi atapata wapi pesa bila kukusanya kodi? nikapata jibu kwamba TUTAUZWA.
Sijui wanatuchukuliaje hawa watu aisee.
 
Sawa awamu ya viwanda vya cherehani 6 aka ushonaji.
Wewe mkulima ndio una chuki na wafanyakazi maana ulikimbia shule ,huna budi ukomae na kilimo cha jembe la mkono tu.
Mdanganyika.
Hehe..unaona mlivyo, mnahubiri uhuru wa vyombo vya habari na mnayotenda kabla ya kushika madaraka kwa wanahabari yanaogofya, nani kawadanganya nchi ya wafanyakazi pekee hii?
 
Kwanza watupe mrejesho wa sadaka walizochangisha kwenye uzinduzi wa kampeni zao matumizi yake na kiasi gani kinachopatikanaaaa. Nani wakuwaamini chademaaa.
 
Kwa bahati mbaya siwezi kujibizana na mshamba na limbukeni ambaye hajui dunia inatoka wapi inaelekea wapi, shenzi type.
 
Kwa bahati mbaya siwezi kujibizana na mshamba na limbukeni ambaye hajui dunia inatoka wapi inaelekea wapi, shenzi type.
Poleni sana, jiandaeni kwa aibu hiyo 28 October, hatuchagui mtu alotumwa kutafutia soko mabwana zake na kuifanya nchi yetu dampo la bidhaa zao, kagombeeni uRais wa hiyo dunia ili muipeleke inakoenda na si Tanzania.
 
ELIMU BILA MAARIFA
 
Hatuhitaji kuwa dampo la bidhaa, hatuhitaji kuwa koloni tena, hatutauzwa tukijiona, huwezi fanya hayo bila kodi kama hujauzwa..bora tufunge mkanda tukiwa huru.

Kodi za madini zinaenda wp?
 
Unazungumza hayo yote, ukiwa umevaa suruali, shati, saa na viatu kutoka China. Sasa bidhaa gani ambazo hazipo zitamwagika nchini. Wacha kuwa na mawazo finyu.

Fuatilia sera za viwanda utajua pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…